BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MRISHO MPOTO ACHOKA KUTEMBEA KWA MIGUU NA PEKU NA HII NDIYO GARI ALILONUNUA TENA LA MATAWI YA JUU KABISA.




Msanii wa Muziki na Sanaa Hapa Nchini Mrisho Mpoto aliweza kuweka historia ya pekee ya Kutembea Bila ya Kuvaa Viatu pale popote aendapo. sasa Sijui msimamo huo umekwenda wapi hii ni mara tu alipoamua Kununua Gari na si Gari tu Gari la Kifahari laheshima kiukweli. >>Swahilitz.info
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: