BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KAULI ZA VIONGOZI WETU PINDI WANAPOBANWA NA JAZIBA KATIKA MAJUKUMU YA SERIKALI NA SIASA TANZANIA YAKO HIVI.

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE.
 
1: kuleni nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe. (Mramba)
2. Foleni dar ni ishara ya maendeleo (JK)
3. Acheni wivu wa kike (Msekwa)
4. Asiyeweza kulipa nauli ya kivuko apige mbizi (Magufuli)
5. Baada ya kutumia helicopter ya jeshi kwenda nayo urambo mlitaka nitumie punda" (Kapuya)

6. Wabunge wa Dar mnafikiria kwa kutumia makalio (Masaburi)
7. Ukitaka kula lazima uliwe (JK)
8. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua (Wasira)
9. Kila mwananchi atabeba msalaba wake (Mkullo)
10. Wanafunzi kupata mimba ni viherehere vyao (JK)
11.asiyeweza gharama za umeme awashe kibatari (Muhongo)
12. Uchumi mnao lakini mnaukalia (Nyerere)
13. Chadema tupo makini kuliko serikali ya ccm na usalama wa taifa (Dr.slaa)
14. Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa (Juma Nkamia)
15. Tumefika hapa kwa upuuzi wa ccm namaanisha tumefika hapa kwa udhaifu wa rais (John Mnyika)
16. Polisi Mimi ni kama rais wao hawana cheo cha kunikamata (Mch. Mtikila)
17. Watanzania tuhakikishe tunamwaga damu za kutosha tuingie ikulu (Dr slaa)
18. Ukiona tz kuna maisha magumu nenda unakoona kuna vya dezo (JK)
19. Wanaoishi mbagala wote pumbavu (Mkapa)
20. Msinywe mchuzi wa sangara unawaletea nyege mtapata ukimwi bure (Lowasa)
21. Wanaoandamana kuweka mgomo piga tuu..(Pinda)
22. Mtaenda kazini mkiwa na ngeu mkigoma (JK)
23. Supplementary ni somo kama masomo mengine. (Mulugo)
24. Tanzania ni muungano wa visiwa vya Zanzibar na Zimbabwe. (Mulugo)
25. Anayeona mshahara haumtoshi aache kazi (JK)
26. Nampongeza maalim seif kwa kupata kura nyingi ila nampongeza karume kwa kuchaguliwa kuwa rais wa Zanzibar (mwinyi).


Ni nukuu kutoka kwa viongozi wetu ndani ya serikali na siasa, maneno hayo pengine walizungumza kutokana na kuudhika na jambo. Nani hana maudhi ?.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: