BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA MAZISHI YA MKE WA MWENYEKITI NA MBUNGE WA CCM MOROGORO, ASHINDWA KUVUMILIA NA AANGUA KILIO WAKATI WA IBADA YA MAZISHI.

Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini Innocent Kalogeris akimwaga udongo katika kaburi ikiwa sehemu ya kumzika mke wake aliyefariki dunia juzi wakati wa mazishi yake makaburi ya Kolla Manispaa ya Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG




Mkuu wa wilaya ya Mvomero Anthony Mtaka.


Meya wa Manispaa ya Morogoro Amir Juma Nondo

Mkuu wa wilaya ya Kilosa Elias Talimo
Mtoto wa Marehemu na mjukuu wake.
Mwenyekiti wa ccm wilaya ya Morogoro Fikiri Juma akimfariji Mhe Kalogeri, kulia ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera.
Bendera akizungumza jambo la kumfariji Kalogeris wakati wa mazishi yaliyofanyika makaburi ya Kolla. kushoto ni Fikiri Juma.
Mama mzazi wa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro na mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini, Theodora Vasas Kalogeris (75) kulia akizungumza jambo na mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera (katikati) wakati wa ibada ya mazishi ya mke wa Mwenyekiti huyo marehemu Elizaberth Kapoloma katika makaburi ya Kolla mkoani Morogoro, kushoto ni Innocent Kalogeris.
 
Mkuu wa Iringa Christina Ishongema akimsikiliza mkuu wa wilaya ya Mvomero Anthony Mtaka wakati akimnong'oneza jambo wakati wa ibada ya mazishi hayo, kushoto ni mkuu wa wilaya ya Morogoro Said Amanzi
Kalogeris akijandaa kuweka shada la maua katika kaburi la mke wake.
Hawa ni watoto nao wakiwa na shada la maua tayari kuweka kwa mpendwa wao Elizabert Kapoloma.

Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera na mkuu mwenzake wa mkoa wa Iringa. Christina Ishongoma wakiweka shada la maua.
Huyu ni Meya wa Manispaa ya Morogoro Amir Nondo naye akiweka shada la maua.
Mbunge wa jimbo la Kilombero Abdul Mteketa na mwenzake wa jimbo la Mikumi nao wakishiriki kuweka shada la maua

Hawa ni Kaslida Mgeni wa StarTV na redio freeafrica na Latifa Ganzel wa Uhuru kulia wakiwakilisha waandishi wa habari katika tukio hilo
Hii ni pole, yote ni mipango ya mwenyezi mungu.
Huzuni imetawala muda mfupi kabla ya kuaga mwili wa marehemu eneo la Forest nyumba kwa Mhe Kalogeris.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Morogoro Petrol Kingo kulia na mbunge wa jimbo la Morogoro kusini Mashariki Dk Lucy Nkya.
Bendera akitoa nasaha wakati wa ibada iliyofanyika nyumbani kwa marehemu
Mbunge wa viti Maaalum Magreth Mkangwa akiwa mwenye huzuni, kulia
Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood akiwa amejumuika na watu mbalimbali katika msiba huo.










Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: