BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UTII WA SHERIA BILA SHURUTI NAMNA UNAVYOVUNJWA KWA WENYE VYOMBO VYA USAFIRI.


Wafanyakazi wanaofanya kazi ya kukusanya takangumu wakipakiza furushi la chupa tupu katika tela la trekta baada ya kudondoka chini kutokana na mzigo mkubwa wakati wakisafirisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine katika barabara ya Boma eneo la msikiti mkuu wa mkoa wa Morogoro, Chupa hizo zimekuwa zikiuzwa katika maeneo mbalimbali kisha kusafirishwa Dar es Saalaam ambako kuna soko zuri. PICHA/MTANDA BLOG
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: