BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WEZI WA TANGA NI SHIDA !!! WAIBA NGUO ZA MAITI, BAADA YA KUFUKUA MWILI KABURINI.


Watu wasiojulikana wamefukua mwili wa marehemu Agnes Gao aliyekuwa akiishi eneo la zizini wilayani Handeni kisha kuiba mavazi yake ya mwisho aliyovishwa tukio hilo la kusikitisha limekuja siku mbili tu baada ya mwili wa marehemu kuzikwa.CHANZO ITV.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: