BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SHAHADA YA KOZI YA ELIMU YAFUNIKA KATIKA MAHAFALI YA PILI YA CHUO KIKUU CHA MT AUGUSTINO MOROGORO.




Mhitimu wa kozi ya shahada ya kwanza ya elimu, Theresia Mbilinyi akipongezwa na mama mkwe wake, Blandina Mbunda wakati wa mahafali ya pili ya chuo kikuu cha Mt Augustino Tanzania yaliyofanyika chuoni mkoani Morogoro, ambapo jumla ya wahitimu 547 wa kozi hiyo walihimu ikiwa ni idadi kubwa kuliko kozi zote.PICHA/MTANDA BLOG.

 
Wahitimu wa kozi ya shahada ya kwanza ya elimu wakifaa kofia mara baada ya kutunukiwa shahada hiyo wakati wa mahafalai ya pili ya chuo kikuu cha Mt Augustino Tanzania yaliyofanyika chuoni hapo mkoani Morogoro.ambapo jumla ya wahitimu 547 wa kozi hiyo walihimu.

Akiwa katika pozi na wenzake kabla ya kutunukiwa shahada hiyo.


Theresia akipongezwa na mumewe Emmanuel Mbunda.


Picha ya marafiki mbalimbali.



Akikatab keki

Kipengele muhimu baada ya tafrija iliyofanyika katika hoteli ya Arc mkoani Morogoro
Picha ya pamoja na familia zan pande mbili za mume na mke.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: