BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

IMANI: KANISA LA ANGLIKANA LAWEKA HISTORIA NA KUMCHAGUA MWANAMKE WA KWANZA LIBBY LANE KUWA ASKOFU.

http://www.independent.co.uk/incoming/article9930310.ece/alternates/w620/libbylane-2.jpg
Askofu wa kwanza mwanamke kanisa la Anglikana, Libby Lane akiwa na furaha tele.
 
Kanisa la Uingereza limemchagua askofu wa kwanza mwanamke,

Mchungaji Libby Lane atakuwa askofu wa Stockport mnamo mwezi January, na kumaliza ukiritimba wa wanaume kuwa maaskofu katika kanisa hilo.

 
Amesema kuwa amefurahishwa na hatua hiyo, Kanisa la Uingereza liliwachagua wanawake mara ya kwanza kama makuhani mnamo mwaka 1994.

Wanawake tayari wameruhusiwa kuwa maaskofu katika maeneo mengine ya jamii ya kianglikana ,ikiwemo Marekani na kusini mwa Afrika. CHANZO: BBC SWAHILI
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: