BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AJALI YA KUGONGANA KWA TRENI NA LORI DAR ES SALAAM.


Treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) ikiwa imehama njia yake baada ya kugongwa na lori la mizigo katika makutano ya Reli ya Kati na Barabara ya Kawawa, Dar es Salaam jana.

Dereva wa treni hiyo alijeruhiwa wakati dereva wa lori hilo alikimbia baada ya ajali. (Picha na Fadhili Akida).
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: