BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

IKULU YATOA MUONGOZO KWA WATUMISHI WANAOTAKA KUFANYA KAZI ZA KISIASA.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjOICOfe_03pv-OkS2bO2cLBwRZoZzG5qjjYZitQ5beU-PM8gqpa2HxIrdzNIuDKWLyNxAGeHtgc0xNNY0Rex3MP9xvMANFbgU9ZIhgD-fMXpMmXsYdmc0TFrP2VsxYi-k8neMHxwHWANM4/s1600/1.jpg

Ikulu imetoa waraka mpya kwa watumishi wa umma wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa, ikiwamo urais, ubunge na udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.


Kwa mujibu wa waraka huo, mtumishi wa umma anayetaka kuwania moja ya nafasi hizo za kisiasa, atalazimika kuacha kazi na kulipwa mafao yake, endapo jina lake litateuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kama mgombea.

Waraka huo wenye Kumbukumbu CAB 157/547/01/47 ukiwa na kichwa cha habari ‘Kuhusu utaratibu kwa watumishi wa umma wanaogombea nyadhifa za kisiasa nchini’, umetolewa Januari 2, mwaka huu na kusainiwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: