BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KIONGOZI MKUU WA KANISA KATOLIKI DUNIANI PAPA FRANCIS AISHANGAZA DUNIA.

https://365thingsilikeaboutfrance.files.wordpress.com/2014/08/o-papa-francisco-facebook1.jpg

Papa Francis amesema kuwa hajawahi kutazama runinga kwa miaka 25 na mtandao wa internet.
Kiongozi huyo mkuu wa kanisa Katoliki duniani anasema kuwa licha ya kutoangalia runinga ama TV pia huwa hatumii mtandao wa internet kwa ajili ya huduma mbalimbali zilizopo ndani ya mtandao huo.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: