BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAAJABU YA BINADAMU KUISHI MAISHA MREFU DUNIANI YAPO KWA MUHASHTA, KIFO KIMEMSAHAU !!.

“KIFO KIMENISAHAU…!”
Mzee Mahashta Mûrasi amezaliwa Bangalore tarehe 6 mwezi Januari 1835, akahamia na kufanyakazi kazi mjini Varanasi kuanzia mwaka 1903 hadi mwaka 1957 alipostaafu akiwa na miaka 122.

 
Kwa sasa Mûrasi ndiye binadamu mwenye umri mkubwa zaidi Duniani akikaribia miaka 180. 

Mzee Mûrasi anasema vitukuuu na vilembwe vyake wanakufa katika hali ambayo anaona “kifo kinamsahau yeye kama yupo hai”, hali inayomfanya akate tamaa kabisa ya kufa! 
HII INATOKA UKURA WA Mussa Ally Bwakila.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: