BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

JESHI LA POLISI ZANZIBARA LAMKAMATU MTU MMOJA NA MABOMU MANNE YA KIVITA YA KURUSHWA KWA MKONO.

Jeshi la polisi Zanzibar limefanikiwa kumkamata mtu mmoja akiwa na mabomu manne ya kivita ambayo yanasadikiwa ni miongoni mwa mabomu yanayotumika katika vitendo vya uhalifu yaliyotokea sehemu mbali mbali nchini.



Kamishna wa jeshi la polisi zanzibar CP Hamdani Omar Makame amethibitisha kukamtwa kwa mtu huyo ambaye kwa Mujibu wa jeshi hilo mtu huyo amekiri kuwa anajishughulisha na mtandao wa kuagiza, kuingiza na kuhifadhi mabomu ya kivita ya kurushwa kwa mkono na mabomu hayo yalikuwa matano na polisi wamesema huenda moja ya hilo likawa ndilo lilotumika Darajani huku kamishna amesema mtandao huo unausishwa na matukio kadhaa.

Hata hivyo akmishna Hamdani Maka amesema kukamtwa kwa mtuhumiwa huyo ambaye hatahivyo amekataa kumtaja jina na mazingira yaukamataji wake amemsmea hahusiani na imani ya kidini na polis inamshughulika mtu kisheria kutokana na kosa lake kwa mujibu wa sheria za nchi nasiyo Imani za kidini. 




Wakati polis imekataa kutoa taarifa yeyeote kuhusu mtuhumiwa huyo jeshi hilo limesema hakuna kosa lolote la kisheria endapo mtu akipelekwa nje yaznazibar kwakosa la ugaidi huku akisema bado polisi ianedelea na upelelezi wa tukio hilo kama ni la zanazibar au la ama ni mtandao waugaidi wa nchi nzima
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: