BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TIMBWILI TIMBWILI LA MAANDAMANO RAIA WA HONG KONG KUFUNGA BARABARANI KATIKA PICHA NDIVYO HALI ILIVYO.

Maandamano bado yana endelea nchini Hong Kong na kusababisha baadhi ya barabara kufungwa katika mitaa ya Mon kok na barabara kuu ya kuingia mjini ya Nathan Road, Waandamanaji wameweka mahema barabarani huku polisi wakiimalisha ulinzi bila kuwabuguzi raia waandishi wa habari wakionekana juu ya maandaki ya kuingilia kwenye vituo vya treni vya Mon kok.Picha/MTANDA BLOG kwa hisani ya mdau Twalib Mwaikuju aliyeko Hong Kong.


Waandishi wa habari wakiwa juu ya golofo huku chini kukiwa na waandamaji waliofunga barabara wakiwa wamepumzika.
Mtanzania Twalib Mwaikuju akiwa amepozi mita chache kutoka eneo lenye askari na waandamaji waliofunga barabara nchini humo
 Polisi wakiwa wameimarisha ulinzi katika eneo la mzunguko wa magari.


 Msululu wa mabasi ya Polisi wakielekea katika eneo la tukio.
Askari wakiwa wameweka mahema ili kuangalia hali ya usalama baada ya waandamaji kufunga barabara.








Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: