BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DKT JOEL BENDERA AKABIDHI OFISI YA MKUU WA MKOA MOROGORO KWA DKT RAJAB RUTENGWE, YEYE ATIMUKIA MKOA WA MANYARA KUANZA KIBARUA KIPYA.

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera kushoto aliyehamishiwa mkoa wa Manyara na Dk Rajab Rutengwe (katikati) aliyehamia mkoa wa Morogoro akitokea mkoa wa Tanga wakitia saini katika taarifa ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Morogoro wakati wa makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Morogoro Desemba 17/ 2014.Picha/Mtanda Blog.

Katibu tawala mkoa wa Morogoro, Elia Ntandu kulia akisimamia zoezi la makabidhiano baina ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera kushoto aliyehamishiwa mkoa wa Manyara na Dk Rajab Rutengwe (katikati) aliyehamia mkoa wa Morogoro akitokea mkoa wa Tanga wakati wa ya utiaji wa saini taarifa ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Morogoro Desemba 17/ 2014.Picha/Mtanda Blog.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe akivalishwa skafu na skauti.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe akisalimiana na mmoja wa kamati ya ulinzi na usalama Meneja Mkuu wa Shirika la Mzinga, Meja Jenerali, Dk Charles Muzanila, kushoto ni mkuu wa Manyara DKT Joel Bendera.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Kilosa Elias Tarimo, kushoto ni mkuu wa Manyara DKT Joel Bendera.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Kilombero Hassan Massala Elias Tarimo, kushoto ni mkuu wa Manyara DKT Joel Bendera
 Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Morogoro, Said Amanzi, kushoto ni mkuu wa Manyara DKT Joel Bendera.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Gairo, Khanifa Karamagi, kushoto ni mkuu wa Manyara DKT Joel Bendera
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Mvomero, Anthony Mtaka, kushoto ni mkuu wa Manyara DKT Joel Bendera
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe akisalimiana na Afisa Tawala wilaya ya Morogoro, Alfred Shao, kushoto ni mkuu wa Manyara DKT Joel Bendera.  
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe akisalimiana na mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mvomero, Wallace Karia, kushoto ni mkuu wa Manyara DKT Joel Bendera.  
 Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe akisalimiana na baadhi ya maafisa wa ngazi mbalimbali, kushoto ni mkuu wa Manyara DKT Joel Bendera.  
Mwenyekiti wa wakuu wa wilaya mkoa wa Morogoro Said Amanzi akizungumza jambo huku mkuu wa mkoa wa Morogoro DKT Rajab Rutengwe kushoto na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Manyara wakimsikiliza wakati akiongea.
Waandishi wa habari wakiwa katika majukumu yao ya kazi.
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Manyara akisoma risara katika hafla hiyo.
 Mkuu wa mkoa wa Morogoro DKT Rajab Rutengwe akizungumza jambo kwenye hafla hiyo ya makabidhiano
Sehemu ya wageni waalikwa.
Safu ya viongozi wa vyombo vya dola ambao wanaunda kamati ya ulinzi na usalama wakifuatilia matukio yaliyokuwaa yakiendelea.
Mwenyekiti wa wakuu wa wilaya mkoa wa Morogoro Said Amanzi akihitimisha hafla hiyo iliyofanyika katika ofisi za mkuu wa mkoa Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: