BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS: WATU 35 WAFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA KUTA ZA NYUMBA SHINYANGA.

http://wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/773913539.JPGMbunge wa jimbo la Morogoro kusini, Innocent Kalogeris akiangalia moja ya nyumba iliyobomoka baada ya mvua kubwa kunyesha ikiambatana na upepo mkoani Morogoro hivi karibuni katika halmashauri ya wilaya ya Morogoro Viji.Picha ya maktaba/Mtanda Blog

Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa leo,kata ya Mwakata wilaya ya kahama mkoani Shinyanga.


Endelea kufuatilia habari zetu kufahamu zaidi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: