BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

IDADI YA WATU WALIOKUFA SASA YAFIKIA WATU 38 KATIKA TUKIO LA MVUA YA MAWE IKIAMBATANA NA MAFURIKO MKOANI SHINYANGA.

 

Idadi ya Watu walio poteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua Mkoani shinyanga imeonmgezeka kutoka watu 35 wa awali hadi kufikia watu 38 mpaka sasa ambao tayari wamesha thibitishwa.


Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga Justus Kamugisha kuwa amesema kuwa watu waliofariki dunia kutokana na mafuriko hayo imetokana na kuangukiwa na nyumba na miti.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: